About TPB Bank PLC ATM|Branch Locator Media & News Center Downloads Careers
TPB BANK PLC
  • Home
  • Personal Banking
      • ACCOUNTS
      • Salary Account
      • Quick Account
      • Minor Account
      • Students Account
      • Call Account
      • Sports Account
      • Tabasamu Account
      • CREDIT FACILITIES
      • Micro Loans
      • Personal Loans
      • INSURANCE SERVICES
      • Domestic Package
      • Personal Insurance
      • Public Liability Ins
      • Motor Policy
      • TIME DEPOSITS
      • WADU Plus
      • Fixed Deposits
  • Business Banking
      • ACCOUNTS
      • Business Account
      • CREDIT FACILITIES
      • SME Loans
      • INSURANCE SERVICES
      • Burglary Insurance
      • Fidelity Guarantee Insurance
      • Money Insurance
      • Fire Insurance
  • Electronic Banking
      • E-BANKING
      • TPB POPOTE Mobile Banking
      • TPB POPOTE Agency Banking
      • TPB POPOTE ATMs
      • TPB POPOTE Cards
      • Internet Banking
      • BILL PAYMENT
      • TRA Tax Collection
      • Fees Payment
      • MONEY TRANSFER
      • Western Union
      • TISS
      • Telegraghic Transfer - TT
      • EFT
  • Financial Inclusion
      • GROUP BANKING
      • Informal Groups Account
      • TPB VICOBA Account
      • TPB VSLA Account
      • M-KOBA
  • Treasury
      • TREASURY SERVICES
      • Foreign Exchange
      • Notice Deposits

PERSONAL BANKING > ACCOUNT

TABASAMU ACCOUNT


  • Salary Account
  • Quick Account
  • Minor Account
  • Students Account
  • Call Account
  • Sports Account
  • Tabasamu Account

Tabasamu Account

Utangulizi
Katika kutambua umuhimu na changamoto za kujiwekea akiba ambazo watu wengi hukutana nazo, Benki ya TPB
Madhumuni
Kuwezesha akina mama na .akina dada kujikwamua kiuchumi kwa kufungua akaunti ya TABASAMU iii kujiwekea akiba na hatimaye kuboresha maisha yao ya kila siku kwa kuongeza mitaji ya biashara zao/au kuanzisha shughuli mbali mbali za kiuchumi.

Walengwa wa akaunti hii

Akaunti hii ni mahsusi kwa akina mama au akina dada wanaojishughulisha na shughuli za kiuchumi za aina yoyote (biashara), waajiriwa, walio katika kikundi au mtu mmoja mmoja

Mahitaji ya Kufungua Akaunti ya TABASAMU

1)    Kwa Mtu mmoja mmoja

(a) NAKALA ya kitambulisho cha Utaifa, au Kadi ya mpiga Kura au Leseni ya Udereva au Hati ya Kusafiria
(b) Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Mtaa/makazi au ankara ya malipo ya Umeme au malipo ya maji kuthibitisha eneo unalotoka
(C) Picha mbili za kipimo cha hati ya kusafiria Cnyuma yenye rangi ya buluu),
(d) Kiwango cha kufungulia akaunti hiini 10,000/=
(e) Gharama za uendeshaji ni 4,000/= tu.

2)    Kwa Kikundi cha TABASAMU

 a) Kikundi Rasmi-Kilichosajiliwa

       i.    Barua ya utambulisho toka kwenye kikundi
       ii.    Orodha ya wanachama wa kikundi na·sahihi zao
       iii.    Muhutasari wa kikundi kuonesha uteuzi wa waendesha akaunti
       iv.    Picha za waendesha akaunti
       v.    Katiba ya kikundi
       vi.    Kiwango cha kufungulia akaunti hii ni 50,000/=
       vii.    Gharama za uendeshaji ni 30,000/= tu.

 b)    Kikundi Kisicho rasmi-kisichosajiliwa 
       i.    Muhutasari wa kikundi wenye majina ya wanakikundi na sahihi zao
       ii.    Barua toka kwa kiongozi wa kikundi kuelekezwa TPB ikionesha dhamira ya kutaka kufungua akaunti, majina   ya waendesha akaunti kama ilivyokubalika kwenye kikao
       iii.    Picha za waendesha akaunti ambayo imepigwa hivi karibuni kwa madhumuni ya·kufungua akaunti
       iv.    Katiba ya kikundi (kama ipo)

Faida za kuwa na akaunti ya TABASAMU
Akaunti ya TABASAMU inampa fursa mwenye akaunti kuchukuwa mkopo hadi asilimia hamsini (50%) ya akiba yake mara anapohitaji kufanya hivyo
     i.    lnatoa faida nono kwa mwaka
     ii.   Inampa mwenye akaunti kinga ya BIMA ya Maisha
     iii.  Akaunti ya TABASAMU inatumika kama dhamana endapo mwenye akaunti anahitaji mkopo
 

Tabasamu Account

Contact Us

  • Email:
    info @tpbbank.co.tz,
    callcentre@tpbbank.co.tz
  • Customer Service: +255 787 669 977
  • Call Centre:
    +255 765 767 683, +255 788 767 683, +255 658 767 683, +255 773 767 683
  • Head Office 10th LAPF Towers, Bagamoyo Road, Opp Makumbusho Village, Kijitonyama, P.O BOX 9300, Dar es salaam
  • +255 22 2162940
TPB BANK PLC

Popular Links

  • Internet Banking
  • Cash Collection Portal
  • Photo Gallery
  • FAQs
  • News Center
  • Agents
  • Events
  • Mahitaji Ya Kuwa Wakala
  • Jinsi Ya Kutumia SONGESHA
  • Jinsi Ya Kutumia M-KOBA
  • Customer Complaint Handling Procedure
  • Utaratibu Wa Kutoa Malalamiko Ya Mteja

Do you have any complaints about our services?

Social Media

  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter
  • HOME
  • ABOUT US
  • ATM|BRANCH LOCATOR
  • MEDIA & NEWS CENTER
  • TENDERS
  • CAREERS

© 2021 TPB BANK PLC. All Rights Reserved.